Hamjambo jamani?
Waswahili walisema, "Kila jambo lina mwisho wake". Ni siku chache tu zimebaki kwa wamarekani kumchagua Obama wa chama cha Democratic au McCain wa chama cha Republican kuwa rais wao.
Wewe kwa mtazamo wako, unadhani ni nani atashinda kuwa rais kati ya wagombeaji hawa wa wawili? Na kwa nini?
Tuesday, October 14, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Nafikiri (na natumaini pia!) kwamba Obama atasinda. Kama watu wote wanajua, Rais Bush halikuwa rais nzuri. Watu duniani wote hawapendi Bush, na Bush na McCain ni wanachama wa chama moja.
Obama ni tofauti, yeye anaweza kusema jinsi nzuri, na yeye ana mawazo nzuri zaidi kuendesha nchi wetu.
Katika historia marekani, kwa kawaida tuna kiongozi cha chama moja, na baada ya miaka tisa, huchagua kiongozi cha chama kingine.
Uchaguzi huu ambao utaamuliwa katika mwezi wa Novemba ni muhimu sana. Ni lazima kupiga kura kwa sababu ni lazima Obama angashinda urais. Sipendi mgombea McCain kwa sababu yeye anataka kufuata nyayo za rais Bush.
Wapigaji kura hawataki mtu anayetoka chama tawala. Bush ni rais mbaya. Alianza vita nchini Iraq na Afghanistan. Tunaiishi katika hali ya vita. Wananchi wa dunia hawampendi Bush na wanataka rais wa Marekani ambaye anaweza kuleta mabadiliko. Hawataki mtu atayeshughulikia maswala ya ndani ya nchi zingine.
Wakati wa kaskazi nilikuwa mjini Nairobi. Watu pale hawampendi Bush lakini wao wanampenda sana Obama. Wanampenda kwa sababu baba yake anatoka Kenya na wanadhani atawasaidia na ataleta amani. Ninabashiri kwamba Obama atashinda kwa sababu uchumi wa kimataifa umeanguka. Nafikiri kwamba wapigaji kura watafanya uamuzi mzuri (Inchalla!).
Msamiati wa Uchaguzi:
Mgombea: Candidate
Uchaguzi: election
Upinzani: opposition
Wanasiasa: politicians
Chama tawala: ruling party
Mabadiliko: changes
Kushughulikia maswala yetu ya ndani: to be involved with internal issues
Amua: to decide
Post a Comment