Ingawa sikumbuki vizuri habari za sikukuu ya thanksgiving, nitajaribu kukuambia. Ninajua kwamba habari zinazoambia shuleni si kweli, lakini habari sahihi hazijulikani vizuri.
Zamani, watu wanaoitwa "pilgrims" wamefika ardhi ya Marekani (lakini bado haiitwi Marekani kwa sababu hakuwepo nchi). Pilgrims walitaka kuanza maisha yao hapa Marekani, lakini tayari watu wanaoitwa Native Americans waliishi juu ya ardhi. Ingawa kwa kawaida walimu wa historia wanawaambia wanafunzi kwamba Pilgrims waliwauliza Native Americans wakitumia ardi yao, tama waliwaua wao wengi na waliiba ardhi.
Lakini, habari za sikukuu ya thanksgiving ni Pilgrims na Native Americans waliwasaidiana na Native Americans walivitafuta vyakula walivyopikia Pilgrims. Chajio kilichokula kinaitwa sikukuu ya thanksgiving.
sahihi - true, correct, accurate ardhi - land tama - truly, honestly, really kujulikana - to be known
Wakati sikukuu ya Thanksgiving, tunasherekea ufikaji ya “Piligrims” kwenye Marekani. Pilgrims alikuwa Wiingereza wanaoacha Uiingereza kwa sababu waliteseka na serikali. Walikuwa “Puritans” (dini ya Kiprotestanti) na walitaka kupewa amani. Walisafiri kwenye Marekani katika meli inayoitwa “Mayflower.” Walifika mahali panaitwa “Plymouth.”
Wakati Thanksgiving, tunashukuru kwa mavuno mazuri. Wanakula vyakula vya mavuno kama bata mzinga na boga. Kwa ajili ya hadithi Pilgrims walisherekea sikukuu ya Thanksgiving ya kwanza mwaka elfu moja mia sita ishrini na moja katika Plymouth. Walisherekea pamoja na wenyeji wa Marekani.
Sasa wengi walisahau sababu tunasherekea Thanksgiving. Wamarekani wanaipenda sikukuu hii kwa sababu ni wakati wapumzike, wale, na washerekee na familia. Wenyeji wa Marekani wengi hawasherekei Thanksgiving. Walizipoteza ardhi zao baada ya ufikaji ya Pilgrims. Wenyeji wa Marekani wengi hawakiri sikukuu za Thanksgiving na Columbus Day.
Msamiati: Meli: boat Kuteseka: to be persecuted, tortured Kupewa amani: to be given peace Mavuno: harvest Kushukuru: to thank Bata mzinga: turkey Boga: pumpkins, squash Hadithi: legend, story Wenyeji: native, local Kukiri: to recognize, approve
3 comments:
Ingawa sikumbuki vizuri habari za sikukuu ya thanksgiving, nitajaribu kukuambia. Ninajua kwamba habari zinazoambia shuleni si kweli, lakini habari sahihi hazijulikani vizuri.
Zamani, watu wanaoitwa "pilgrims" wamefika ardhi ya Marekani (lakini bado haiitwi Marekani kwa sababu hakuwepo nchi). Pilgrims walitaka kuanza maisha yao hapa Marekani, lakini tayari watu wanaoitwa Native Americans waliishi juu ya ardhi. Ingawa kwa kawaida walimu wa historia wanawaambia wanafunzi kwamba Pilgrims waliwauliza Native Americans wakitumia ardi yao, tama waliwaua wao wengi na waliiba ardhi.
Lakini, habari za sikukuu ya thanksgiving ni Pilgrims na Native Americans waliwasaidiana na Native Americans walivitafuta vyakula walivyopikia Pilgrims. Chajio kilichokula kinaitwa sikukuu ya thanksgiving.
sahihi - true, correct, accurate
ardhi - land
tama - truly, honestly, really
kujulikana - to be known
Wakati sikukuu ya Thanksgiving, tunasherekea ufikaji ya “Piligrims” kwenye Marekani. Pilgrims alikuwa Wiingereza wanaoacha Uiingereza kwa sababu waliteseka na serikali. Walikuwa “Puritans” (dini ya Kiprotestanti) na walitaka kupewa amani. Walisafiri kwenye Marekani katika meli inayoitwa “Mayflower.” Walifika mahali panaitwa “Plymouth.”
Wakati Thanksgiving, tunashukuru kwa mavuno mazuri. Wanakula vyakula vya mavuno kama bata mzinga na boga. Kwa ajili ya hadithi Pilgrims walisherekea sikukuu ya Thanksgiving ya kwanza mwaka elfu moja mia sita ishrini na moja katika Plymouth. Walisherekea pamoja na wenyeji wa Marekani.
Sasa wengi walisahau sababu tunasherekea Thanksgiving. Wamarekani wanaipenda sikukuu hii kwa sababu ni wakati wapumzike, wale, na washerekee na familia. Wenyeji wa Marekani wengi hawasherekei Thanksgiving. Walizipoteza ardhi zao baada ya ufikaji ya Pilgrims. Wenyeji wa Marekani wengi hawakiri sikukuu za Thanksgiving na Columbus Day.
Msamiati:
Meli: boat
Kuteseka: to be persecuted, tortured
Kupewa amani: to be given peace
Mavuno: harvest
Kushukuru: to thank
Bata mzinga: turkey
Boga: pumpkins, squash
Hadithi: legend, story
Wenyeji: native, local
Kukiri: to recognize, approve
Post a Comment