Saturday, January 24, 2009

Maisha Tofauti

Wakati mwingine nikiwaza kuhusu maisha yangu yanavyoendelea ninaona kwamba ni bora kama nisingalisoma historia ya Afrika Mashariki katika Chuo Kikuu cha Stanford na kwamba ningalikuwa msanii. Je mngalibadilisha maisha yenu mngalifanya nini? Je, mngalisoma Chuo Kikuu cha Stanford? Mngaliishii hapa nchini Marekani au katika nchi nyingine? Mngalifanya kazi nyingine? Tafadhali wazeni kuhusu maisha yenu. Je mngalichagua njia / mpango mwingine wa maisha tofauti na wa sasa?

4 comments:

Unknown said...

Keren ametuuliza swali nzuri. Ni kweli kwamba maisha ya wanafunzi wa udaktari ni ngumu sana. Hiyo ni sababu wanafunzi wengi wanaamua kuacha chuo kikuu ili wawe wasanii (kwa mfano). Ukiwa mwanafunzi wa udaktari, unahitaji kusoma sana sana. Huna wakati wa huru kwa sababu usiposoma, unaandika. Kwa miaka miwili ya kwanza ya masomo yako, unahitaji kuhuduria madarasa mengi pia. Pia unahitaji kusafiri kwenye mikutano katika sehemu nyingine za dunia na unahitaji kusoma lugha nyingine. Vile vile, unahitaji kuwahibia walimu wako kwa sababu wao wanakuandikia tathmini na kukupa shahada yako.

Ningeweza kuchagua njia yangu ya maisha tena, labda ningechagua njia sawa. Lakini kuhusu mada ya kazi, ningeweza kuchagua kazi mbili, ningefungua hoteli pale New York au Rome (na kusoma anthropolojia hapa chuo kikuu cha Stanford pia). Sijui vizuri aina za vyakula ningetumikia, lakini labda vingetoka mashamba karibu na miji ya New York au Rome. Kabla ya kumiliki hoteli ningehudhuria shule ya kupika ili niwe mpishi pia. Halafu, ningejua jinsi ninavyopika vyakula ili viwe vitamu sana. Ningepata pesa nyingi kwa ajili ya vyakula vitamu, na ningeajiri wafanyakazi ili niweze kusafiri dunia yote.

Kwa bahati, hupenda kuwa mwanafunzi wa ukadtari wa anthropolojia hapa Stanford, kwa hivyo sisikitiki kwamba siwezi kuwa mpishi au mwenye hoteli sasa. Labda, wakati ujao…


Kuhibia – to please someone
Shahada – degree
Kutumikia – to serve
Kumiliki – to own
Kuajiri – to employ, to hire

Michelle said...

Nakukubali, Lisa, ni swali nzuri sana. Kewli, napenda maisha yanhu, hata sasa ninapokuwa kazi sana, na nilipowasilisha mukanto hapo Berkely jana. Kweli, pengine nina kazi mno, lakini sio maisha mbaya. Sasa, kwa mfano, jedwali yangu linafungua. Baada ya nilibadilisha kozi zangu, sina kozi baada ya jumatano, kila wiki. Nikikuwa na kazi nyingine (isopokuwa nikifanya kazi nyumbani kwetu) haina jedwali kama hili!

Wakati wachache, ninafikiri kufanya kazi nyingine. Nilipokuwa wanfunzi wa digri ya kwanza, nilifanya kazi katika ofisi kimatatifa. Nilipenda kuandika masomo, basi pengine nikibadilisha maisha yangu, ningalichagua kazi kama hii, kuandika masomo. Mimi na dada yangu tulinyera kwamba tukikosa masomo yetu, tutafungua duka la picha. Tutasafiri nchi yote, kutembelea sarikasi zote. Tutakuwa na nguo tofauti, kama majini ay nguo za zamani. Watu wataweza kuvaa na nguo zetu, na dada yangu atapiga picha. Kutumia Photoshop, nitabasilisha maandhari nyuma ya watu (kutumia maandari tofauti, kama mshaamba, au mlima n.k.) Baadaye, tutauza picha na wateji zetu watakuwa na zawadi nzuri.

Pengine mpango huu ulibadilisha, kwa ajili ya Mariposa (dada yangu ana mtoto, na labda maisha ya sarikasi si maisha nzuri kwa mtoto…)

jedwali/majedwali - schedule, timetable
kimatatifa - international (adj)
ku*nyera - to joke, to make fun of
sarikasi (i-zi) - circus
jini/majini - fairy, spirts, nymphs
maandhari - landscape

Hilary said...

Ingawa kweli sina masikitko kuhusu maisha yangu, ninafurahia pia kuwaza kuhusu jinsi maisha nyingine ingekuwa. Kwahiyo, nitajifanya kwamba nina maisha ya pili, baada ya hii. Nafikiri ningeishi porini, mbali ya jiji, na ningefuga mbuzi na kadhalika. Labda ningekuwa na biashara ndogo kuwasaidia watu wanayotaka kupanda katika vilima karibu ya nyumba yangu. Mbuzi wangeweza kubeba vitu vyao. Ningepanda punje za matunda na miboga kula wakati wote na ningefanya jibini na maziwa ya mbuzi. Halafu, ningefungua hoteli ndogo wangepaweza wageni kula baada ya kupanda vilimani. Labda ningepokuwa mzee, ningeandika kitabu kuhusu maisha rahisi yangu. Wakati wa maisha yangu sasa, sina nafasi kupumzika na kufurahia urahisi. Ninapendeza kuwepo nje ya majenga na ndani ya pori. ☺

Lazima niseme kwamba maisha hii ni kweli maisha ya pili yangu! Kwanza, nilipanga kufanya kazi ya maendeleo ya elimu. Nilifikiri ningewasaidia watoto kujifunza na sera nzuri. Lakini, nilipoanza kufanya kazi hii, nilianza kuwa na mashaka, na nilisita. Mara kwa mara, sera ilionekana nzuri, lakini ilifanya noma baya. Mradi, nilisimamisha kazi hiyo, na nilifunga kurudi shuleni kusoma anthropologia. Ninatamani bado kwamba masomo haya yatachangia busara muhimu, lakini nina furaha nyingi kuhusu maisha ya pili yangu, na sina wasiwasi kuhusu kazi yangu sasa.


porini - in the country/wilderness
ku*fuga - to breed/raise
punje (n-n-) - seed(s)
jibini (n-n-) - cheese
nafasi (n-n-) - chance/opportunity
sera (n-n-) - policy(ies)
(ma)shaka (ji-ma-) - trouble(s)
noma (n-n-) - problem(s)
mradi (conj) - thus, accordingly
ku*changia - to contribute
busara (n-n-)-insight,knowledge

Rachel Quint said...

Ninakubali, pia, ni swali nzuri sana kwa sababu kwa maisha yangu nzima, nimejua kuhusu nitaenda shule secondari, nitaenda Chuo Kikuu, na nitapata kazi, na pia, nitafikiri wakati wa kazi au baadaye ya kazi, ninataka kulea watoto. Halafu, nimechagua masomo ya siasa na Afrika, na ninapenda sana masoma yangu. Ninafikiri nitaishi Afrika Mashariki baadaye ya shule na kabla ya ninazaa, na ninasubiri kwa hamu.

Lakini, ningechagua maisha ningine kabisa, ninafikiri ningefanya kazi ya maonyesho. Ninapenda sana kufanya maonyesho, hasa ya musiki, na pia, ninapenda sana kushona kwa watu ambao wanaonyesha. Ninapenda sana sanaa, na ninashindwa kuhusu labda ningetulia ningefanya kazi ya maonyesho badala ya kazi ya shule (na Chuo Kikuu.) Pia, ningepata uwezo ya musiki, ningetaka sana kuimba kwa maonyesho ya Broadway.

Lakini, ninafikiri ningetulia sana, lakini ningekuwa huzuni pia, kwa sababu miradi kubwa ni miradi ya Chuo hapa.

Vocab:
miradi -- aspirations
maonyesho -- performance, play, theater
uwezo/kipaji -- talent