Baada ya kusoma makala ya wiki hii kutoka IPP media umeona ni jinsi gani Rais Jakaya Kikwete amefanikiwa katika kusuluhisha migogoro iliyojitokeza katika nchi jirani mfano Kenya. Toa migogoro miwili amabayo ipo /imeshatokea katika jamiii yako na namna ya kuitatua.
4 comments:
Makala haya ni kuhusu michango ya Rais ya Tanzania walipokuwa mwenyekiti wa Umoja we Afrika (AU). Mujibu nusu ya kwanza ya makala, wakati wa mwaka 2008, Rais Kikwete aliisaidia mataifa matatu: Kenya, kisiwa cha Anjuan katika Comoro, na Burundi. Kuambia kila hadithi, makala yanajaribu kudhamini kwamba kazi na utendaji wake hawatakumbukwa. Hadithi ya kwanza ni kuhusu Kenya na inafundisha Kikwete anavyosaidia kusimamisha mgogoro kuhusu uanzishwaji wa cheo cha Waziri Mkuu. (Mfano wa Tanzania walipewa!) Hadithi ya pili inaambia kuhusu jinsi Kikwete, pamoja na Sudan na Senegal, alitumia operesheni ya kijeshi kuwapatanisha pande katika Comoro. Hatimaye, Kikwete ameshughulikia Burundi, aliposaidia kusababisha amani (mwisho ni mgumu kufahamu!).
Mambo ya makala hii ni kuhusu dhima ya Raisi ya Tanzania wakati machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Decemba mwaka 2007 nchini Kenya. Katibu wa Umoja wa Mataifa, Koffi Annan, alijaribu kuleta amani. Lakini, mchango na juhudi ya Rais Kikwete ilisaidia kuwashawishi Kibaki na Odinga kufanya amani. Juu ya shinikizo la Marekani na Uingereza, Odinga na Kibaki walikubali upatanishi. Makala imetukumbusha kwa dhima muhimu ya Raisi Kikwete. Alisaidia kuwatuliza washirika wa karibu na Rais Kibaki ambao walikuwa wasiwasi kwamba Waziri Mkuu Odinga angekuwa mtendaji. Waliogopa Odinga angempokonya Rais Kibaki madaraka yake.
Msamiati
Heshima: respect
Mwenyekiti: chairperson
Kupewa: To be given
Machafuko: Disorder
Matokeo: result, consequence
Kupokea: To receive
Wadhifa: office
Changamoto: challenge
Mgogoro: trouble
Kukumbana: to push
Vifo: deaths
Makazi: residences, homes
Kuzingatia: take into account
Juhudi: zeal, enthusiasm
Kupatanisha: to pacify
Jukumu: guarantee
Upatanishi: reconciliation
Kufanikisha: to accomplish
Mchango: contribution
Kushawishi: to persuade
Kutekeleza: to accomplish
Makubaliano: agreements
Shinikizo: pressure
Kutolewa: to be given,
Ziara: grave
Rasmi: visit
Madai: claims, demands
Ufafanuzi: explanation
Kuhusiana: to be concerned with
Kutekelezwa: to be accomplished
Kuanzishwa: to be started
Cheo: rank
Baadhi: a few
Washirika: partners
Mtendaji: militant, activist
Kupokonya: to rob
Madaraka: appointments
Nusu ya kwanza ya makala hii inahusu machafuko ya Kenya, mwaka uliopita. Makala inafalanua mada ya Umoja wa Afrika, kwamba Kikwete alipopewa kuwa mwenyeketi wa AU wakati moja na machafuko. Makala inaeleza pia kwamba Koffi Annan alijarubu kutatua machafuko, lakini yeye alishindwa. Basi, makala inafulana hali ya machafuko, vitu vilisababisha machafulo yalianza. Pia, makala inahusu matatizo ya Kikwete, vitu Kikwete anavyofanya kama mwenwekiti wa AU.
ku*falanua - to describe
ku*tatua - to solve
Andishi ya makala hii ameandika kuhusu migororo mengi katika Afrika. Kuna migogoro katika jamii yangu pia kama Afrika. Kwanza, jeshi ya Marekani imeshambulia nchi ya Iraq. Sasa, mgororo ya Iraq haijatatua. Pia, kama Kenya, Marekani ina matatizo ya siasa na kundi ya siasa. Hata Marekani, kuna pigano kuhusu uchaguzi. Lakini, serikali ya kila jimbo ipo kusaidia kutua matatizo ya uchaguzi.
Post a Comment