Ulipokuwa mdogo, ulikuwa ukifikiri kwamba ungefanya nini utakapokuwa mtu mzima? Kwa nini ulipenda kazi hii? Mara kwa mara, nilifurahia kukumbuka mipango yangu kutoka utoto, kwa sababa yananichekesha. Kwa mfano, pengine, nilitaka kuwa daktari ya macho. Nilihitaji degaga nilipokuwa mdogo sana, na kapenda lenzi ambaye wao hutumia kuangalia macho. Pengine, nilitaka kuendesha ndege. Nilijua majina ya kila ndege (nimeyasahau sasa) na kaangalia katika mbingu kuziona kila siku. Pengine nilitaka kuwa mwandishi pia. Nilikuwa nikiandika hadithi fupi kuhusu familia kubwa inayekaa katika jimbo la Texas (ingawa sijawahienda Texas)! Labda ndoto hii ni karibu na nususi, kwa sababu ninapaswa kuandika kitabu ili kupata shahada ya tatu. Nimefurahi kwamba sikusomo udaktari wa macho au jinsi kuendesha ndege. Vitu hivi vingenichokesha sana leo! Je, mipango yako yamebadilika tangu utoto? Ulipenda kufikiri kuhusu wakati ujao au hapana?
Msamiati:
degaga (9/10) eyeglasses
lenzi (9/10) lenses
mbingu (9/10) sky, heavens
nususi (9/10) fact, reality
Sunday, April 5, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Nilipokuwa mtoto, nilitaka kuwa mwalimu wa shule msingi. Baba yangu ni mwanasayansi, halafu ningalipenda kuwa mwalimu wa sayansi. Nilijitahidi sana katika darasa la sayansi, hata biologia na fisikia. Pia, nilicheza sana na kompyuta yetu, hata nilifanya mpango mingi. Kweli, sikujua kwamba historia pia ilikuwa mtaala mzuri pia. Niligundua katika shule msingi tu kwamba ninapenda historia, na niligundua historia ya Afrika katika chuo tu.
Ningalipenda kumwambia kwamba nilitaka kuwa kitu kizuri, kama mwanaanga, daktari au mwandishi. Mama yangu ni msaana, halafu nilicheza na kupaka rangi kama mtoto, lakini ilikuwa kucheza tu, sikufikiri kuwa msaana kama mama. Nitakuwa mama, nitaambia watoto wangu kamba wao wataweza kuwa kitu chochote!
mtalaa/mitaala - study/studies
mwanaanga - astronaut
Nilipokuwa mtoto, nilitaka kazi mbali mbali. Kwanza, nilitaka kuwa daktari kwa sababu nilitaka sana kuwasaidia watu. Halafu, nilitaka kuwa Rais wa Marekani. Nilipoamua kuhusu hii, nilifikiria mimi ni msichana wa kwanza kutaka kuwa Rais. Nilifikri nilikuwa awali kabisa. Lakini, kwa kweli, watoto wote wanataka kuwa Rais. Halafu, nilitaka kuwa mwalimu. Kili mwaka, nilitaka kuwa mwalimu kwa kipindi changu.
Kwa kweli, sikujua kuhusu kazi, na sasa pia sijui kabisa kuhusu kazi ambayo ninataka. Ningalipenda kuwambia ni sawa kabisa kutojua kazi gani ambayo ninataka.
awali - original
Hilary, kwa nini ulikuwa ukiandika hadithi kuhusu familiya inayokaa Texas???!!! Ni ajabu sana...nitamwambia Erik kwa sababu yeye anatoka hapo kwa hivyo atakuchekea. Mimi, utotoni nilitaka kuwa mwanabiologia ya bahari. Yaani, nilitaka kusoma kuhusu wanyama kama vile nyangumi na mapomboo. Nikiwa mtoto nilipenda kuogelea sana na nilifikiri kwamba wanyama wa bahari walikuwa rafiki zangu.
Sikumbuki kwa nini nilisahau kuhusu ndoto hii, lakini labda nilikuwa nikihinikiza na maji. Halafu, nilikuwa nikitaka kuwa mwandishi (kama Hilary pia!). Nilikuwa nikiandika hadithi kuhusu vitu vya azima. Nilifikiri kwamba ningepokuwa mtu mzima, ningeandika kwa ajili ya kupata pesa. Nilifurahia sana kuanika hadithi, lakini nilipofurahishwa na siasa, nilifikiri kwamba nilipaswa kusoma vitu vinavyowasaidia watu wengi. Sasa, ninatambua kwamba hadithi ni muhumu sana kwa watu. Watu wengi wanasoma ili wafahamu matatizo yao. Pia, kuna hadithi nyingi kuhusu mada ya saisa.
Sasa, ninafikiria wakati uliopita zaidi kuliko wakati ujao. Lakini, sikufikiria kuhusu vitu vilivyotaka kufanya wakati wa mtu mzima. Ninafikiria mahali nilipokaa na watu maarufu katika maisha yangu.
nyangumi – whales
mapomboo – dolphins
ndoto – dream
kutambua – to realize
kuhinikiza – to be bored
azima - magic
Post a Comment