Habari zenu,
Katika likizo yenu ya Kiangazi mlikwenda Afrika ya Mashariki na mliishi pale kwa miezi kadhaa. Je kuna tofauti gani kati ya maisha na utamaduni wa Afrika ya Mashariki na Marekani?
Toa maoni yako pamoja na misamiati utakayokuwa nayo katika mada hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Kazkazini iliopita nilienda nchi ya Tanzania kwa miwezi miwili. Niligundua kwamba utamaduni hapo ni tofauti kidogo kutoka utamaduni niliojua kwa Marekani au Kanada. Katika Tanzania, watu wingi wanauza vitu vingi kwa biashara si rasmi - Tanzania ina maduka mengi, hata upande wa barabara. Katika Marekani na Kanana, biashara hufanya kupitia maduka rasmi. Inakuwa maduka rasmi katika Tanzania pia - kama Milimani City kando ya Chuoni, lakini maduka hapo ilikuwa ghali sana kuliko bei ya biashara si rasmi. Labda hii itabadilika. Nilipoenda barabara Mnazi Mmoja kununua vitenge, na niliona alama ilioandika “Uombe kwa reciti, kwa ajili ya ushuru wako unachangia mandaleo ya nchi.” Lakini, nisiwahi kupokea reciti kwa vitenge (na nisiwahi kuombea reciti pia…)
Nilitambua pia kwama wazazi watanzania ni tofauti kidigo ikilinganishwa na wazazi wakanada. Hasa sasa, baba wakanada hulelewa watoto wenu, si kazi ya mama tu. Kwa mfano, serikali Kanada inakupa likizo ya mzazi kwa ajili ya baba npya na mama npya pia. Nilipokaa Tanzania, sikuona baba mengi waliyosaidia kulelea watoto wenu. Lakini, sijawahi kuona familia watanzania katika nyumba kwenu, basi labda baba watanzania walilelewa na watoto wenu zaidi nyumbani kupiatia nje ya nyumba.
-gundua - to discover
biashara - commerce
rasmi - formal, official (si rasmi - informal)
alama (9/10) - sign
ushuru - tax
-tambua - to realize
ikilinganishwa - if it is compared
Ni ngumu kubainisha maisha ya Afrika ya mashariki na Marekani kwa sababu mahali hapa ni pakubwa sana na kuna tofauti nyingi baina ya mahali pa pili.
Kwa mfano, pale Kenya watu wanasema kwamba maisha na utamaduni wa pwani na maisha na utamaduni wa Nairobi ni tofauti kabisa. Tubainishe pwani na Nairobi. Watu wa Nairobi wanafikiri kwamba watu wa pwani ni wavivu. Wanalalamika pale hotelini weta wanafanya kazi pole pole. Ni kweli watu wanavifanya vitu pole pole zaidi, lakini wakati mwingine hicho ni nzuri sana. Kwa mfano, ukisafiri kwa matatu unaweza kuwazungumza na dereva na watu wengine. Pale Nairobi, watu hawataki kukuzungumzia habari za siku nawe kwa sababu wote hujishughulisha.
Lakini, pia watu wa Nairobi wanafikiri kwamba watu wa pwani wana busara fulani kwa sababu wanatumia dawa ya kienyeji. Pia watu wa Nairobi wanajua Mombasa ni salama kuliko mji yao kwa sababu hakuna wizi wengi.
Watu wa pwana wanafikiri kwamba watu wa Nairobi si wakarimu. Watu wachache hawataki kutembelea jiji la Nairobi kwa sababu wanafikiri wakienda pale vitu vyao vitaibwa na wizi. Lakini, pia watu wa pwani wanapapenda Nairobi kwa sababu kuna pesa nyingi pale na watu wengi wameelimika vizuri sana.
Hatimaye, haiwezikani kubainisha Afrika ya Mashariki na Marekani. Ungehitaji kubainisha sehemu fulani pale Afrika ya Mashariki na Marekani ili uweze kuelewa tofauti yao.
Msamiati:
kubainisha - to contrast, to distinguish
kulalamika - to complain, to protest, to grumble
busara - wisdom
kujishughulisha - to be busy
kuelimika - to be educated, enlightened
kienyeji - traditional
Katika likizo yangu nilienda jijini Nairobi. Ingawa wananchi wa Nairobi wanapenda utamaduni ya Marekani, maisha ya Nairobi ni tafauti sana kuliko maisha ya Marekani. Kuna msongamano wa magari wengi katika Nairobi. Madereva hawasimami kwa wenda wa miguu au hawaendeshi taratibu. Watu wa Nairobi wanakula upesi pia. Hawangoja wengine kuanza kula. Aidha wanapanda and wanashuka matatu kwa haraka haraka. Maisha ya Nairobi ni haraka!
Jijini Marekani wananchi hawawasumbui wageni, lakini katika Kenya hasa pwani kuna wengi wanayependa kuongea na wageni. Sikushanga kuulizwa “una mume?” Nilizoea pia kuitwa “Mzungu!” Katika Marekani marafiki tu wanaulizana kukopa pesa. Lakini wakenya wanategemeana na wanagawa pesa wao.
Napenda sana jinsi ya wanawake wamevaa katika Nairobi. Wamarekani wamevaa kienyeji. Wanawake wa Kenya wanajali namna ya nguo zao.
Hatimaye ninavipenda vioski vya Nairobi. Nchini Marekani kuna maduka makubwa na hakuna wenye duka wengi wa maduka madogo. Ninapenda utamaduni wa masoko ya Nairobi.
Msamiati:
msongamano wa magari: traffic jam
taratibu: slowly, carefully
mwenda/wenda wa miguu: pedestrians
kusumbua: to bother, annoy
upesi: fast, quickly (adverb)
kuzoea: to get used to
kukopa: to borrow
kukopesha: to lend
kugawa: to share
kienyeji: carelessly, sloppily
kujali: to heed, respect, care about
namna: sort, quality, type
Post a Comment