Hamjambo nyote?
Sasa uchaguzi wa marekani umemalizika na Barak Obama amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Rais Obama anatarajiwa na wananchi wa Marekani kufanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kurekebisha uchumi wa Marekani , huduma za afya pamoja na kulisafisha jina la Marekani.
Kwa mtazamo wako unaona ni mambo gani muhimu kumi ya kwanza ambayo Rais Obama angetakiwa aanze kuyafanya? Elezea mambo hayo kumi kwa kutumia kutendwa (Passive voice).
Sunday, November 16, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Kwa sababu uchaguzi wa Marekani umemaliza, kuna mambo mengi yanayafanywa. Kwanza, ni lazima uchumi urekebishwe. Yaani, ni bora wanasiasa wazuri wanaojua vitu vingi kuhusu uchumi wachaguliwe na Obama. Wanajeshi wa Marekani warudiwe kutoka Iraq mpaka Marekani. Pia, kita kimalizwe karibu sasa kwa sababu kita ni mbaya kwa maisha na uchumi wa Marekani. Si lazima pesa nyingi zaidi zinatumiwa ili tupige kita.
Halafu, wanasiasa wanaokaa nchi nyingine wapigiwe simu kwa sababu hakuna hekima kati ya Marekani na nchi nyingine sasa. Katika Marekani, mfumo wa shule ubadilishwe kwa sababu kuna shule nyingi hazina vitabu vya kutosha. Pia, walimu walipwe pesa zaidi.
Upande wa afya, Wamarekani wote wapatiwe huduma za afya. Hospitali mbaya zifungwe na hospitali nyingine zijengwe. Huduma za afya ni muhimu sana.
Hatimaye, mahakimu wachaguliwe ambao hawatabadilisha sheria muhimu sana kwa wanawake kama vile Roe v. Wade. Pia, watu wa maskini wapatiwe pesa na mafunzo ili waweze kutafuta kazi.
Msamiati
mafunzo - training
mahakimu - judges
mfumo wa shule - school system
hekima - diplomacy
wanajeshi - soldiers
kurekebishwa - to be fixed
Sasa, uchaguzi marekani umemaliza, nasi Rais Obama atahitaji kufanya vitu vingi. Barak Obama atafanywa ana Marekani. Sasa, uchimu marekani na uchumi duniani ni mbaya sana. Ni muhimu uchumi utarekebisha na Obama. Pia, watu wowote dunani hawapenda nchi yetu. Halafu, ni muhimu kiwango kitaimarishwa na Obama pia. Marekani ni tofauti na nchi nyingine kwa ajili ya huduma ya afya; wamarekani wengi hawakuwa na jukumuu la afya. Halafu, mfumo wa afya marekani utatengenezwa na Obama bia. Sasa, kuna wanajeshi wengi katika Iraq - lakini watu dunia wote (hasa katika Iraq) wanafikiri kwamba si nzuri. Katika mwaka huu, wanajeshi watakukombwa na Iraq na Obma na serikali.
Kweli, si matatizo ya Obama tu! Mmarekani atajisaidia na kujitegemea pia. Familia kubwa itahitaji kusaidiwa na familia ningine.
Post a Comment