Ninapenda “Thanksgiving” sana! Hii sikukuu ndiyo ninayopendelea kwa sababu vitu tunavyofanya wakati wa siku hii. Ninatembelea familia yangu au familia ya mchumba wangu na sisi hupika mlo mkuu kwa watu wote. Asili ya “Kupa Shukrani” (kama nitaiita sikukuu hii katika Kiswahili), ingawa, ni mbaya sana. Shuleni, wakati wa utoto, sisi hufundishwa kwamba mahaji ya Ulaya na Wahindi wa Marekani wamekula pamoja kushukuru Mungu kwa sababu walipona kipindi cha kipupwe kilichokuwa baridi sana na wakazijenga nyumba nyingi. Tokea hapo, mahaji walisherekea kwa sababu walibariki baada ya Wahindi wa Marekani wengi walikufa kwa hivyo mahaji waliweza kuguya ardhi zote wenyewe. (Mahaji walisababisha vifo vingi wenyewe na ugonjwa!) Wamekula mlo pamoja na Wahindi wa Marekani wachache, lakini haukuwakilisha umoja. Leo, sisi hukumbuka mlo tu. Kwa sababu hizi, ningependa kubadilisha sikukuu hii kidogo. Tungeweza kufurahia chakula pamoja, lakini sasa tunahitaji kukumbuka ukweli, na kufuata jinsi kupata kipeo cha awali. Leo, kama wakati uliopita, hatujafuata mahusiano mazuri kati ya serikali ya Marekani na Wahindi wa Marekani. Mataifa wa Wahindi yanapaswa kuwa huria kabisa lakini serikali ya Marekani ina nguvu sana bado hapo na kuna vidonda vingi vya wakati uliopita ambavyo vinahitaji kupona. Watu watumie sikikuu ya Kupa Shukrani kufanya vitu kuboresha situ hali za mataifa za Wahindi.
Msamiati asili (n-n-) origin shukrani (n-n-) thanks, gratitude mahaji pilgrims ku*pona to survive, be healed “tokeo hapo” actually ku*bariki to thrive, prosper ku*guya to seize vifo (ki-vi-) deaths kipeo (ki-vi- ideal awali (adj) original huria (adj) independent, free, vidonda (ki-vi-) wounds ku*boresha to improve
Ninapendelea sikukuu ya Krismasi kuliko nyingine. Ingawa sina dini, ninaipenda kwa ajili ya kununua zawadi, kupamba mti na kupika na kuoka vyakula vitamu. Kwa kawaida, mchumba wangu nami hununua mti wa Krismasi baada ya sikukuu ya asante. Hatuendi msituni ili kutafuta mti, lakini hununua pale sokoni. Tuna mapambo mengi yanayotoka safari zetu. Pia, tuna taa sana tunazotumia kila mwaka. Kila usiku kabla ya Krismasi, tunaosha taa zinazokuwepo mti.
Ziku chache kabla ya Krismasi, hutazama maonyesho yanayoitwa “The Nutcracker”. Yanahusu kijana ambaye inaota kuhusu wanyama kama vile panya na paka wanaopigana na bwana mzuri anamwokoa. Mwaka huu, tuliyatazama maonyesho katika San Francisco, lakini wakati uliopita, tuliyatazama pale New York.
Ningeweza kutengeneza sikukuu, singebadilisha sikukuu ya Krismasi, isipokuwa ningefanya siku nyingine kwenye mwaka ambazo ni sawa.
kuota – to dream msituni – forest mapambo - decorations
Ninapenda sikukuu ya Pasaka zaidi. Kabla ya sikukuu hii, wakatholiki huenda kanisa mara mingi, alhamisi kwa ajili ya “mlo wa mwisho,” ijumaa kwa ajili ya ijumaa juu, na hatimaye huenda misa wa pasaka, bora ni jumamosi usiku. Misa hii inaitwa “Kesha ya Pasaka,” na misa kwa masaa matatu. Inaanza katika giza, na waamini (believers?) wana mishumaa. Tunaanza kwa kusikia hadithi kwa wasia kongwe, kama ugundizi wa dunia, Musa na bahari, na kadhalika. Kati ya hadithi, waimbaji wanaimba wimbo nyimbo nzuri sana. Katika kanisa langu, tunasika kinubi pia.
Baada ya hadithi mingi (inategemea, lakini kwa jumla hadithi inadumu takriban masaa mawaili) tunaimbia “gloria” pamoja, mara la kwanza kwa wiki tano (hatuimba “gloria” katika majira ya “lent”). Huwasha taa, na kuimba kwa sauti juu! Baada ya “gloria,” tunaendelea kwa misa, lakini sasa tuna raha sana, kwa ajili ya Yesu alipaa!
wasia - testament kesha - vigil kongwe - old, ancient Musa - Moses -dumu - to last, to persevere -washa - to light -paa - to rise kinubi - harp
3 comments:
Ninapenda “Thanksgiving” sana! Hii sikukuu ndiyo ninayopendelea kwa sababu vitu tunavyofanya wakati wa siku hii. Ninatembelea familia yangu au familia ya mchumba wangu na sisi hupika mlo mkuu kwa watu wote. Asili ya “Kupa Shukrani” (kama nitaiita sikukuu hii katika Kiswahili), ingawa, ni mbaya sana. Shuleni, wakati wa utoto, sisi hufundishwa kwamba mahaji ya Ulaya na Wahindi wa Marekani wamekula pamoja kushukuru Mungu kwa sababu walipona kipindi cha kipupwe kilichokuwa baridi sana na wakazijenga nyumba nyingi. Tokea hapo, mahaji walisherekea kwa sababu walibariki baada ya Wahindi wa Marekani wengi walikufa kwa hivyo mahaji waliweza kuguya ardhi zote wenyewe. (Mahaji walisababisha vifo vingi wenyewe na ugonjwa!) Wamekula mlo pamoja na Wahindi wa Marekani wachache, lakini haukuwakilisha umoja. Leo, sisi hukumbuka mlo tu. Kwa sababu hizi, ningependa kubadilisha sikukuu hii kidogo. Tungeweza kufurahia chakula pamoja, lakini sasa tunahitaji kukumbuka ukweli, na kufuata jinsi kupata kipeo cha awali. Leo, kama wakati uliopita, hatujafuata mahusiano mazuri kati ya serikali ya Marekani na Wahindi wa Marekani. Mataifa wa Wahindi yanapaswa kuwa huria kabisa lakini serikali ya Marekani ina nguvu sana bado hapo na kuna vidonda vingi vya wakati uliopita ambavyo vinahitaji kupona. Watu watumie sikikuu ya Kupa Shukrani kufanya vitu kuboresha situ hali za mataifa za Wahindi.
Msamiati
asili (n-n-) origin
shukrani (n-n-) thanks, gratitude
mahaji pilgrims
ku*pona to survive, be healed
“tokeo hapo” actually
ku*bariki to thrive, prosper
ku*guya to seize
vifo (ki-vi-) deaths
kipeo (ki-vi- ideal
awali (adj) original
huria (adj) independent, free,
vidonda (ki-vi-) wounds
ku*boresha to improve
Ninapendelea sikukuu ya Krismasi kuliko nyingine. Ingawa sina dini, ninaipenda kwa ajili ya kununua zawadi, kupamba mti na kupika na kuoka vyakula vitamu. Kwa kawaida, mchumba wangu nami hununua mti wa Krismasi baada ya sikukuu ya asante. Hatuendi msituni ili kutafuta mti, lakini hununua pale sokoni. Tuna mapambo mengi yanayotoka safari zetu. Pia, tuna taa sana tunazotumia kila mwaka. Kila usiku kabla ya Krismasi, tunaosha taa zinazokuwepo mti.
Ziku chache kabla ya Krismasi, hutazama maonyesho yanayoitwa “The Nutcracker”. Yanahusu kijana ambaye inaota kuhusu wanyama kama vile panya na paka wanaopigana na bwana mzuri anamwokoa. Mwaka huu, tuliyatazama maonyesho katika San Francisco, lakini wakati uliopita, tuliyatazama pale New York.
Ningeweza kutengeneza sikukuu, singebadilisha sikukuu ya Krismasi, isipokuwa ningefanya siku nyingine kwenye mwaka ambazo ni sawa.
kuota – to dream
msituni – forest
mapambo - decorations
Ninapenda sikukuu ya Pasaka zaidi. Kabla ya sikukuu hii, wakatholiki huenda kanisa mara mingi, alhamisi kwa ajili ya “mlo wa mwisho,” ijumaa kwa ajili ya ijumaa juu, na hatimaye huenda misa wa pasaka, bora ni jumamosi usiku. Misa hii inaitwa “Kesha ya Pasaka,” na misa kwa masaa matatu. Inaanza katika giza, na waamini (believers?) wana mishumaa. Tunaanza kwa kusikia hadithi kwa wasia kongwe, kama ugundizi wa dunia, Musa na bahari, na kadhalika. Kati ya hadithi, waimbaji wanaimba wimbo nyimbo nzuri sana. Katika kanisa langu, tunasika kinubi pia.
Baada ya hadithi mingi (inategemea, lakini kwa jumla hadithi inadumu takriban masaa mawaili) tunaimbia “gloria” pamoja, mara la kwanza kwa wiki tano (hatuimba “gloria” katika majira ya “lent”). Huwasha taa, na kuimba kwa sauti juu! Baada ya “gloria,” tunaendelea kwa misa, lakini sasa tuna raha sana, kwa ajili ya Yesu alipaa!
wasia - testament
kesha - vigil
kongwe - old, ancient
Musa - Moses
-dumu - to last, to persevere
-washa - to light
-paa - to rise
kinubi - harp
Post a Comment