Ukiwa na nafasi kujulikana, kwa nini ungependa kuwa maarufu? Kwa mfano, ujifanye kwamba ungeweza kufanya kitu chochote vizuri sana, na tafadhali usiseme ungekuwa kuwa mtaalamu mzuri, au ungefanya amani katika mahali pote, au kwamba ungewalisha watu wote. Bila shaka, vitu hivi ni muhimu, lakini ninapenda kufahamu tamaa nyingine zako kwa wewe mwenyewe tu. Je una heba za siri ambazo ungependa kuendeleza? Utuambie! Ukumbuke, hutakuwa fani tu, utakuwa mashuhuri sana. Nakutakia ujibu tofauti na majibu yaliyopita kuhusu pendekezo la utotoni na shughuli nyingine. Watu wengi watakufahamu, na namna ya washabiki wako itategemea juu ya sababu ya umashuhuri wako. Kwa hivyo, kwa nini kila mtu atajua jina lako?
Na Hilary
Msamiati:
ku*julikana -to be famous, in the limelight
maarufu -distinguished, famous
mtaalamu -scholar
heba -talents
fani -successful
mashuhuri -renouned, celebrated, illustrious
shughuli -career
umahuhuri -fame
Tuesday, May 12, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Pole sana Hilary, lakini sipendi mada hii ya blogu kwa sababu sitaku kuwa maarufu sana. Nilipotazama televisheni au kusoma magazeti na hadithi au habari kuhusu watu maarufu, huwarehemu kwa sababu wakati wote wanahitaji watu wanaowahifadhi. Pia, waandishi wa habari wanajaribu kuwapigia picha kwa hivyo hawana faragha yoyote.
Lakini, kwa sababu umeniuliza, ninajaribu kujibu swali lako. Ningeweza kufanya kitu chochote vizuri sana, ningekuwa mpishi (haifurahishwi kwa sababu umeshajua hivyo...pole!) Ningeenda chuo cha kupika ili nisome kuhusu jinsi ya kupika. Labda ningesafiri pale Italia kwa ajili ya kula vyakula vitamu sana na kusoma jinsi Waitalia wanavyopika. Baada ya kusoma jinsi wanavyopika, ningerudi Marekani (labda New York) ili nianze hotelini peke yangu. Ningeogoza na kupika kwa ajili ya hotelini.
Haba na haba, ningekuwa maarufu kwa sababu ya vyakula vyangu. Waandishi wa habari wangeandikia vyakula vyangu, na watu wanaokuja hotelini kwangu wangetaka kunikutana. Lakini, ningependa kubaki ndani ya jikoni ili watu wasingefahamu uso wangu na ningeweza kusafiri mtaani bila ya kusumbuliwa na watu hawa!
kurehemu – to pity, feel sorry for
faragha – privacy
haba na haba – little by little
uso – face
kusumbua – to bother, annoy, disturb
Bila shaka, ninajua kwa nini ningetaka kuwa maarufu. Kweli, kwa kawaida, huwauliza rafiki wapya swali hii: "Ungepata uwezo (au kipaji) bila mwisho na ungekuwa na pesa ya tosha kabisa, ungetaka kufanya nini?" Ninapenda kuuliza swali hii kwa sababu, halafu, ninaweza kujua vitu vya rafiki mpya zaidi ya masomo yake, nyumba yake, familia yake, n.k.
Ningetaka kuwa maarufu kwa sababu ningekuwa mchezaji wa mayonyesho ya Broadway. Ningetaka kuwa bingua wa kiimba na kucheza na kujifanya. Lakini, siwezi kuimba au kucheza vizuri. Halafu, ninaweza kufurahia mayonyesho bila kuwa maarufu.
Labda, jibu yangu ni fupi mno, halafu nitaandika zaidi kidogo.
Ninapouliza rafiki zangu, "Ungepata uwezo (au kipaji) bila mwisho na ungekuwa na pesa ya tosha kabisa, ungetaka kufanya nini?" Watu wengi wanafikiria sana kuhusu swali yangu. Halafu, watu wengi husema "mwimbaji" au "Rais!" Hapa Stanford, watu husema kwamba kazi wanayotaka ni sawa sawa kama wagepata uwezo bila mwisho na ungekuwa na pesa ya tosha na wanayosoma sasa.
Swali nzuri, Hiliary. Kwa kweli, nisingependa maarufu. Mara moja, mimi na dada yangu tulizumgumza kuhusu mada hii. Tuligundua kwamba sisi tulikuwa na mawazo tofauti sana kuhusu maana ya maisha - yeye anafanya kazi hospitalini, na siku zote anasaidia wagongwa. Anawafundisha jinsi ya kutembelea, na kuandaa chakula. Kwa maoni yake, maana ya maisha ni kusudia wagongwa, kila mtu moja kwa moja.
Nina wazo tofauti kidogo. Ningependa kusabibisha mageuzi kwa jumla zaidi. Ninaamani kwamba dunia yetu ni dhalimu. Ninajua kwamba mtu moja hawezi kubadilisha vitu vibaya vyote, lakini ninapenda - kwa kweli - kwamba mtu moja anaweza kubasilisha dunia kidogo, kutakuwa nzuri zaidi. Sasa, ninahitaji jinsi ya kutumia historia ya Afrika kuboresha dunia! Ninafikiri kwamba mtu moja anaweza kufanya kitu kidogo katika maisha, na niliamua kufanya kitu kama hii, na ni watu wachache sana kutakuwa maarufu kwa jinsi hii! Kwa hivyo, nisingependa kutakuwa maarufu, kwa sababu kazi yangu niliyochagua si kazi maarufu.
mageuzi - change
dhalimu - unjust
Post a Comment