Ningeweza kukutana na mtu wowote, ningechagua “Lucy.” Lucy ni jina la “mtu” ambaye alikaa zamani kabisa! Hakuna hakika juu ya ikiwa yeye alikuwa kama binadamu zaidi kuliko sokwe. Leo, tuna mifupa yake tu, na haya ni midogo sana, kama sokwe, lakini tukiona mifupa ya miguu, tunaweza kuona kwambe yeye alitembea kama mtu, yamkini. Ningekuwa kukutana kiumbe kati ya binadamu na sokwe kwa sababu ningependa kufahamu asili za ubinadamu wa kisasa. Labda angeweza kusema kama sisi sote, au labda angefanya kama sokwe kidogo pia. Angenipenda na angetaka kufanya vitu na mimi, au angeogofya na mimi na angejaribu kuneshambulia? Angeonekanaje? Nafikiri, nikiweza kumkutana, ningeleta chakula ili kula pamoja na labda, na muda ndogo, angejisikia nyumbani na mimi na tungefundishana vitu kuhusu maisha yetu. Asingeweza kusema, angeweza kunionyesha angalau. Natumaini kwamba yeye angekuwa kama rafiki zaidi kuliko kipenzi!
hakika (n-n-) -certainty binadamu (n-n-) -human being sokwe (ji-ma-) -ape mifupa (m-mi) -bones yamkini -probably, possibly (adv) kiumbe (ki-vi-) -creature asili (n-n-) -origins ubinadamu (u-) -humanity kipenzi (ki-vi-) -pet
Ningeweza kukutana na mtu yeyote, ningechagua Ferran Adria. Yeye ni mpishi maarufu anayepikia watu wengi pale nchi ya Spain. Kupika kwake ni maalum kwa sababu anatumia maarifa ya sayansi katika vyakula vyake. Kwa mfano, yeye anaungana vyakula tofauti ili kufanya miungano ya ajabu. Anafanya hivyo kutumia maarifa ya sayansi (ni vigumu sana kueleza kwa kiswahili lakini anatumia "liquid nitroen" kwa mfano).
Kila mwaka, takriban watu elfu nane wanataka kula pale hoteli yake, lakini kuna nafasi kwa watu mia mbili tu. Kwa miezi sita kila mwaka Ferran Adria anafanya kazi katika maabara ili kutengeneza vyakula vipya. Halafu, hoteli inafunguka kwa miezi sita mingine. Hoteli inaitwa "el bulli" na iko karibu na mji wa Barcelona, nchi ya Spain. Waandishi wote wa habari wamedai kwamba "el Bulli" ni hoteli tamu zaidi duniani.
Ningependa kukutana mpisha huyu kwa sababu nina maswali mengi ningeyamuuliza kuhusu falsafa yake ya kupika. Pia nikimkutana, nitaweza kualikwa pale hoteli yake!
Msamiati maarifa - technique, strategy kuungana - to join together miungano - combinations falsafa - philosophy kualika - to invite
Ninafikiri kwamba kama ninaweza ningalipenda kutukana Mwalimu Julius Nyerere. Yeye alikuwa mtu mzuri sana, yeye alijisoma katika Tanzania, Uganda na Ulaya. Yeye alirudi Tanzania, kwa ajili ya kuongozwa nchi yake kwenye uhuru. Pia, yeye alianza TANU, na yeye alijaribu kujenga ujamaa katika nchi yake. Kwa bahati mbaya, ni kweli kwamba pengine Nyerere aliamua kufanya vitu ambavyo havilipata (kama ujamaa vijijini katika mwaka sabini) lakini ninafiriki kwa jumla yeye alikuwa kiongozi mzuri sana - au kama katika wimbo, yeye ni “Simba ya Afrika!”
Nyerere aliathiri sana kuliko viongozi wenginie katika Afrika baada ya uhuru. Kiongizi wengine walikuwa wabaya, yeye alitumia uchifu kwa ajili ya kuwa tajiri. Kwa kweli, Nyerere alikuwa “Mwalimu.” Ndiyo, labda mara mingi ujamaa haipata, lakini ninafikri kwamba yeye alikuwa nzuri zaidi kuliko viongizi wa Afrika wengine kwa sababu yeye alijaribu kuskariki Wetanzania wa jumla, kujenga nchi. Viongozi wengine hawalijabribu.
kuongozwa - to lead kuathiri - to make a deep impression uchifu - leadership
3 comments:
Ningeweza kukutana na mtu wowote, ningechagua “Lucy.” Lucy ni jina la “mtu” ambaye alikaa zamani kabisa! Hakuna hakika juu ya ikiwa yeye alikuwa kama binadamu zaidi kuliko sokwe. Leo, tuna mifupa yake tu, na haya ni midogo sana, kama sokwe, lakini tukiona mifupa ya miguu, tunaweza kuona kwambe yeye alitembea kama mtu, yamkini. Ningekuwa kukutana kiumbe kati ya binadamu na sokwe kwa sababu ningependa kufahamu asili za ubinadamu wa kisasa. Labda angeweza kusema kama sisi sote, au labda angefanya kama sokwe kidogo pia. Angenipenda na angetaka kufanya vitu na mimi, au angeogofya na mimi na angejaribu kuneshambulia? Angeonekanaje? Nafikiri, nikiweza kumkutana, ningeleta chakula ili kula pamoja na labda, na muda ndogo, angejisikia nyumbani na mimi na tungefundishana vitu kuhusu maisha yetu. Asingeweza kusema, angeweza kunionyesha angalau. Natumaini kwamba yeye angekuwa kama rafiki zaidi kuliko kipenzi!
hakika (n-n-) -certainty
binadamu (n-n-) -human being
sokwe (ji-ma-) -ape
mifupa (m-mi) -bones
yamkini -probably, possibly (adv)
kiumbe (ki-vi-) -creature
asili (n-n-) -origins
ubinadamu (u-) -humanity
kipenzi (ki-vi-) -pet
Ningeweza kukutana na mtu yeyote, ningechagua Ferran Adria. Yeye ni mpishi maarufu anayepikia watu wengi pale nchi ya Spain. Kupika kwake ni maalum kwa sababu anatumia maarifa ya sayansi katika vyakula vyake. Kwa mfano, yeye anaungana vyakula tofauti ili kufanya miungano ya ajabu. Anafanya hivyo kutumia maarifa ya sayansi (ni vigumu sana kueleza kwa kiswahili lakini anatumia "liquid nitroen" kwa mfano).
Kila mwaka, takriban watu elfu nane wanataka kula pale hoteli yake, lakini kuna nafasi kwa watu mia mbili tu. Kwa miezi sita kila mwaka Ferran Adria anafanya kazi katika maabara ili kutengeneza vyakula vipya. Halafu, hoteli inafunguka kwa miezi sita mingine. Hoteli inaitwa "el bulli" na iko karibu na mji wa Barcelona, nchi ya Spain. Waandishi wote wa habari wamedai kwamba "el Bulli" ni hoteli tamu zaidi duniani.
Ningependa kukutana mpisha huyu kwa sababu nina maswali mengi ningeyamuuliza kuhusu falsafa yake ya kupika. Pia nikimkutana, nitaweza kualikwa pale hoteli yake!
Msamiati
maarifa - technique, strategy
kuungana - to join together
miungano - combinations
falsafa - philosophy
kualika - to invite
Ninafikiri kwamba kama ninaweza ningalipenda kutukana Mwalimu Julius Nyerere. Yeye alikuwa mtu mzuri sana, yeye alijisoma katika Tanzania, Uganda na Ulaya. Yeye alirudi Tanzania, kwa ajili ya kuongozwa nchi yake kwenye uhuru. Pia, yeye alianza TANU, na yeye alijaribu kujenga ujamaa katika nchi yake. Kwa bahati mbaya, ni kweli kwamba pengine Nyerere aliamua kufanya vitu ambavyo havilipata (kama ujamaa vijijini katika mwaka sabini) lakini ninafiriki kwa jumla yeye alikuwa kiongozi mzuri sana - au kama katika wimbo, yeye ni “Simba ya Afrika!”
Nyerere aliathiri sana kuliko viongozi wenginie katika Afrika baada ya uhuru. Kiongizi wengine walikuwa wabaya, yeye alitumia uchifu kwa ajili ya kuwa tajiri. Kwa kweli, Nyerere alikuwa “Mwalimu.” Ndiyo, labda mara mingi ujamaa haipata, lakini ninafikri kwamba yeye alikuwa nzuri zaidi kuliko viongizi wa Afrika wengine kwa sababu yeye alijaribu kuskariki Wetanzania wa jumla, kujenga nchi. Viongozi wengine hawalijabribu.
kuongozwa - to lead
kuathiri - to make a deep impression
uchifu - leadership
Post a Comment