Monday, May 4, 2009

Kumbukumbu ya Utotoni

Watu wote wana kumbukumbu nyingi kuhusu utoto wao, labda kuhusu likizo ya familia yao, au kuhusu shule ya msingi, au hata ndugu zao. Je, ni kumbukumbu gani uliyonayo kuhusu utoto wako unayoipenda zaidi? Ulikuwa mtoto mdogo wa umri gani? Ulikuwa mtoto mzuri, au mbaya? Ulifurahisha sana, au ulitasliti? Tueleze kuhusu utoto wako, tafadhali!

ku*tasliti - to stir up trouble

By Michelle.

3 comments:

Hilary said...

Nina kumbukumbu nyingi kutoka utoto wangu, lakini mwili wangu unisababisha kukumbuka moja kila siku. Nilopkuwa na takribani umri wa miaka kumi na mbili, nilisafiri na familia yangu pamoja na majirani yetu kaskazini kando ya ziwa liitwalo “Lake Superior”, ambalo ni kubwa kuliko yote. Katika kaskazini, pwani ya ziwa hili ni jipya, na ina mawe ya kali mengi, kwa hivyo uangalifu unapopanda pale. Kaka yangu na wavulana waliokaa karibu kwetu walikuwa wakicheza mbali, na wazazi walikuwa wakiandaa vyakula kupika na moto maweni karibu na maji. Niliamua kuama wavulana badala kuwasaidia wazazi, kwa hivyo, nilianza kuwakimbilia. Kwa bahati mbaya, nilikuwa na makuu mengi, na nilifikiri kwamba ningeweza kukimbia juu ya mawe bila kuanguka. Nilikosa sana! Katika mahali moja, nilihitaji kuruka chini ili kuendelea, lakini nilipojaribu, nilikwaa jiwe na nikaanguka na goti langu juu ya hanamu ya jiwe jingine. Nilisikia goti langu na niliona mtai mkubwa sana! Nilipiga kelele na nikaanza kujaribu kuenda wazazi wangu. Aliponisikia, Mama yangu alinikimbilia kwa hivyo nilikaa tu. Aliponifika, alionekana kama nasi kabisa. Alikuwa amekuwa akifanya kazi kama nasi kabla ya kuwa na watoto, na alikuwa na sauti kama nasi kila wakati tulipojiumia vibaya. Alitumia sauti hii sasa, kwa hivyo nilijua niliumwa sana. Ikiwa nilikuwa na mashaka yoyote, Baba yangu aliyapeleka mbali sana. Ujue, Baba yangu hapendi madaktari na kwa kawaida tulipoumwa, alisema kwamba hatukuhitaji daktari na alitupendekeza kwamba tusubiri tu na tungepona kabisa. Ingawa, alipotufika, Mama yangu alimambia kwa salaam “Wakati hii, tunahitaji daktari” na alimonyesha mtai wangu. Alipoona mtai, alishtuka na alirudia “Ndiyo! Tunahitaji daktari sasa hivi!” Sasa nilifahamu bila shaka lolote kwamba nilikuwa na mtai mbaya sana. Baba na Baba ya majirani walinibeba garini na tukaenda hospitalini. Kama nilisema mwanzoni, mwili wangu hauniruhusu kusahau kwa sababu nina kovu kubwa katika goti langu. Ingawa sikufurahia safari hiyo, nilipoona kovu yangu, nilikumbuka utoto na furaha. Nilikumbuka wavulana waliokaa karibu kwetu, na nilikumbuka mara zote tulipofanya vitu pamoja. Kwa hivyo, ninadhani hata kovu inaweza kuwa kitu kizuri pengine. ☺

majirani neighbors
kando ya along, beside (adv)
ku*kwaa to trip over
goti knee
mtai cut
nasi nurse
mashaka doubts
ku*pendekeza to recommend, suggest
ku*pona to heal, get better
ku*shtuka to be shocked
ku*rudia to repeat
kovu scar
ku*dhani to suppose, believe,

Unknown said...

Ingawa nina kumbukumbu nyingi kutoka utoto, ninakumbuka tukio moja zaidi kuliko mengine. Nilipokuwa na miaka minane nilikaa katika flati na mamangu na paka wangu. Sijui kwa nini, lakini nilipenda sana kutazama hali ya hewa televisheni. Nilitaka kuwa mtabiri wa hewa nitakapokuwa mtu mzima. Kwa sababu mimi nilikuwa peke yangu (bila dada au kaka) wakati mwingine nilinisemea. Nilijifanya kuwa watu tofauti na nilitengeneza watu wasioishi.

Baada ya kutazama hali ya hewa televisheni, kwa mfano, nilijifanya paka wangu alikuwa na dhoruba. Kama mtabiri wa hewa, ningetafuta dhoruba (paka wangu) ili nijaribu njia ambayo ingetembelea. Kwa hivyo, ningetafuta paka kutoka chumba kimoja mpaka chumba kingine. Ningesemea watu hawakuwepo na ningewaambia kuhusu dhoruba (yaani paka wangu).

Ninafikiri paka hakujua matukio yaliyatokea kwa sababu wakati mwingine alisimama juu ya kiti ili alale. Alipofanya hiki ningehitaji kungoja kabla ya kutazama hali ya hewa kwa siku. Dhoruba nyingi za paka zingehamia pole pole sana kuliko dhoruba duniani :)

dhoruba – hurricane, storm

Rachel Quint said...

Wiki hii, Mama ametazama video za utoto wangu. Sikukumbuka utoto wangu kabisa, lakini ninapenda sana kumsikuliza mama anapoongea kuhusu mimi. Anasema kwamba nilianza kusema mapema kabisa, kama umri mwaka moja tu! Mama anasema pia kwamba mimi nilikuwa mtoto chunguzi na mpole sana. Dada mkubwa yangu alikuwa mkali kidogo, na katika video, unaweza kumona yeye akinigombza, lakini alikuwa mtoto pia.

Ninakumbuka kuhusu blanketi yangu. Nilikuwa na blanketi nyeupe na niliipenda sana. Ninagliondoka nyumbani, ningalilia kwa sababu mama alinionya kubeba blanketi nje nyumbani.

Nilikuwa mtoto nilipenda kuimba, kulala, na nilikuwa mzee kidogo, nilipenda shule, nilipenda kushona na kufanya maonyesho. Wazazi wangu hucheka sana kwa sababu sijabadilika!